Writen by
sadataley
2:09 PM
-
0
Comments
Mkuu wa KKKT Dkt Frederick Shoo akiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Iringa Mchungaji Blaston Gavile ( kulia kwake ) na Msaidizi wa Askofu Mchungaji Himid Sagga kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumuaga Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Askofu Dkt. Owdenburg Moses Mdegella hayupo pichani katika ibada iliyofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Iringa mjini
No comments
Post a Comment