Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 16, 2014

MIRIAM CHIRWA NA WEMA WAKE YESU

Mtoto Miriam Chirwa katika mojawapo ya huduma kwa watoto wenzake. ©Othman Michuzi
 leo tunakuletea mtoto Miriam Thomas Chirwa, ambaye anatukumbusha kuwa katika maisha yetu na namna tunavyoenenda, si kwa nguvu zetu, bali kwa wema wake Yesu.

Kazi tulizonazo, ujuzi tulionao, elimu tuliyo nayo, na kadha wa kadha, zote ni kwa wema wake Yesu. Tazama kazi hii na utafakari, kama ambavyo imeongozwa na Juma Maulidi kutoka JM Media. Na kwa udogo alionao Miriam, na kwa tuzo ambayo alipata ya Tanzania Gospel Music Awards, hakika ni kwa wema wake Yesu kila kitu kinawezekana. Simama na umtangulize katika mambo yako nawe utafanikiwa. Uwe na Jumapili njema.
 
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment