Writen by
sadataley
11:59 AM
-
0
Comments
NA MUDA TUKIO
1. 2:30 – 3:00 Asubuhi Kuwasili Uwanja wa Mahafali
· Wahitimu na wageni watakaa sehemu waliyopangiwa
· Muziki mseto kutumbuiza
2. 2:30 – 2:45 Asubuhi Kuwasili Mkuu wa Chuo (Chancellor) Kupokelewa
3. 2:45 – 3:00 Asubuhi Upigaji Picha Rasmi
· Picha Rasmi za Mkuu wa Chuo, Viongozi, Wanataaluma na Wawakilishi wa Wahitimu watarajiwa
4. 3:00 – 3:20 Asubuhi
Maandamano ya Ki-taaluma (Academic Procession) kuelekea uwanja wa Mahafali
· Kuwasili uwanja wa Mahafali
· Tangazo toka kwa Msherehe Mkuu (MC)
5. 3:20 – 3:25 Asubuhi
Wimbo waTaifa
· Watu wote wakiwa wamesimama
· Watu wote kukaa baada ya Mkuu wa Chuo kukaa
6. 3:25 – 3:35 Asubuhi
Ufunguzi
· Askofu -DIRA kuongoza Sala ya Ufunguzi
· Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Iringa (Provost) kutambulisha baadhi ya wageni
7. 3:35 – 3:40 Asubuhi
Maelezo ya Mlau (Proctor)
8. 3:40 – 3:50 Asubuhi
Kutunuku Astashahada ya Theolojia (Taasisi ya Misioni)
9. 3:50 – 3:55 Asubuhi
Kuunda kusanyiko la Mahafali
10. 3:55 – 4:00 Asubuhi
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Iringa kuzungumza
11. 4:00 – 4:10 Asubuhi
Hotuba – 1
· Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Iringa (Provost) kuhutubia
· Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Iringa, kumkaribisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini (Vice Chancellor) kuhutubia
12. 4:10 – 4:20 Asubuhi
Hotuba - 2
· Hotuba ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini (Vice Chancellor)
· Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini kumkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Tumaini (Council) kuhutubia
13. 4:20 – 4:25 Asubuhi
Hotuba - 3
· Hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Tumaini (Council)
14. 4:25 – 5:30 Asubuhi
Kutunuku Astashahada, Stashahada, Shahada, Stashahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamili
15. 5:30 – 5:35 Asubuhi
Msherehe Mkuu (MC) kutoa Matangazo
16. 5:35 – 5:40 Asubuhi
Kuvunjwa Rasmi kwa Mahafali
17. 5:40 – 5:45 Asubuhi
Wimbo wa Taifa (Watu wote wakiwa wamesimama)
18. 5:45 – 6:05 Mchana
Picha ya Uongozi wa Chuo na Wahitimu / Kuondoka Uwanja wa Mahafali
IBADA YA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA IRINGA
1. 6.05-6.10 Tumshukuru Mungu Kasisi/mass choir
2. 6.10-6.13 Zaburi 111 Kasisi
3. 6.13-6.23 Neno/Sala
(Nayo Nuru Ya ng’aa Gizani) Dean Gavile
4. 6.23-6.28 Haleluya Kuu Mass Choir
5. 6.28-6.40 Mlolongo wa Maamuzi ya kanisa,
Jina la Chuo n.k Ask.Dr.O.Mdegela kny Mkuu KKKT
6. 6.40-6.45 Shukurani kwa Uongozi Uliopita Ask.Dr. O.Mdegela
7. 6.45-6.55 Tangazo la viongozi wa juu wa Chuo Kikuu
1. Mkuu wa chuo kikuu (Chancellor) Ask.Dr.O. Mdegela Kny Mkuu KKKT
2. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chuo Mr.Nayman Chavala (G/S IRD)
3. Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Chuo Mr.Nayman Chavala (G/S IRD)
4. Makamu Mkuu wa chuo kikuu Mr.Nayman Chavala (G/S IRD)
8. 6.55-7.00 Kukiri Kupokea Wadhifa (1kor 4:1-2) Dean Gavile
9. 7.00-7.05 Ugendelage Uludodi- Mass Choir
Hotuba Mbalimbali
10. 7.05-7.10 -Makamu Mkuu wa Chuo –TUMA Prof. J.Parsalaw
11. 7.10-7.15 -Mwenyekiti wa Baraza la Utawala-TUMA Prof.E. Mwaikambo
12. 7.15-7.25 -Mwenyekiti wa Baraza la Chuo-UoI Ask.Dr.O. Mdegela
13. 7.25-7.35 -Makamu Mkuu wa Chuo Prof. N. Bangu
14. 7.35-7.45 -Maneno ya Shukurani Mkuu wa chuo Justice A. Ramadhan
15. 7.45-7.55 -Baraka ya Haruni Ask.Dr.O. Mdegela
No comments
Post a Comment