Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, February 20, 2017

SIKU ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA ALIPOWATANGAZA VIONGOZI WAPYA WA DAYOSISI HIYO.

Askofu  wa kanisa la  Kiinjili la  Kilutheri  Tanzania (KKKT)  Dayosisi ya  Iringa Dkt  Owdenburg Mdegela katikati  akiwatambulisha  mbele ya Washarika  wa Kanisa  Kuu  Askofu  Mteule wa Dayosisi  hiyo Mchungaji  Blaston  Gavile (wa  pili kushoto)   na mkewe  pamoja na Msaidizi wa Askofu huyo Mchungaji Himid Saga  (wa pili  kulia)  na mkewe
Askofu wa Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Dodoma Dkt. Peter Mwamasika kushoto  akiwa na Askofu Mteule wa  KKKT Dayosisi ya  Iringa Blaston Gavile na mkewe wakimsikiliza Askofu wa Dayosisi  hiyo Dkt Mdegela
Katibu  wa dayosisi ya Iringa Nayman Chavala  kulia  akimfuatilia kwa makini Askofu Dkt. Peter Mwamasika wa KKKT Dayosisi ya  wa Dodoma
Askofu  Mwamasika  kulia  akimpongeza mke wa Askofu mteule wa Dayosisi ya  Iringa  Mama Pamela Gavile katikati ni Askofu Dkt Mdegella
Mchungaji wa usharika wa Kanisa  kuu  Mchungaji Mbogo  akiweka sawa  mic 
Askofu  wa  doyosisi ya  Iringa Dkt Mdegela  kulia  akimtambulisha rasmi askofu mteule wa Dayosisi hiyo Mchungaji Blaston Gavile na mkewe mbele ya  Washarika  wa Kanisa kuu 
Askofu  Dkt Mdegela  akitoa maelezo kwa Washarika  wa Kanisa kuu
Mmoja  wa Wamisionari anayefanya kazi na Idara ya Elimu ya Theologia Kwa Enezi (ETE) Mchungaji Runne mmisionari toka SELM-Sweeden  akimpongeza Askofu Dkt Mdegela  kwa kufanya uchaguzi wa  kihistoria
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment