Writen by
sadataley
9:03 AM
-
0
Comments
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakielekea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakipata picha ya kumbukumbu na wasaidizi wao kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimsindikiza Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, aliyemtembelea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Kikundi cha matarumbeta cha Usambara kikiwakaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele, Zuma alipomkaribisha mgeni wake huyo kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
PICHA NA IKULU
No comments
Post a Comment