Writen by
sadataley
5:37 AM
-
0
Comments
Wakenya wengi wamefurahishwa na agizo la Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya la kuongeza idadi ya maafisa wa usalama wapya Elfu Kumi mwaka huu,ikiwa hatua ya kuimarisha usalama na pia kufikia kiwango kilichowekwa na Umoja wa Mataifa ambapo kila afisa mmoja wa polisi anapaswa kusimamia raia takriban 430.
Licha ta hatua hiyo, raiya waliozungumza na Sauti Ya Amerika wameomba Serikali kutoa mafunzo zaidi kwa maafisa vile vile wakiwaomba maafisa hao waajibike zaidi wanapotekeleza majukumu yao na hasa kuepuka kula rushwa.Chanzo:VOA SWAHILI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment