Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, March 4, 2016

Aliyekuwa mkuu wa Barclays ''kununua Barclays Afrika''

Bob Diamond kuinunua Benki ya Barclays Afrika Mtu aliyekuwa akiendesha Benki ya Barclays nchini Uingereza anatafuta usaidizi wa kuwekeza katika benki ya Barclays barani Afrika ,gazeti la Financial time limeripoti. Bod Diamond amesifika kwa kupanua maslahi ya benki ya Barclays Afrika hadi pale alipolazimika kuiwacha benki hiyo. Baadaye alianzisha Atlas Mara,kampuni ambayo inaangazia kuwekeza katika benki za Afrika. Mapema wiki hii,Barclays ilisema kuwa itauza hisa zake katika biashara zake za Afrika. Imeripotiwa kuwa Bod amefanya mazungumzo na wawekezaji muhimu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment