Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Nkosazana Dlamini-Zuma ametangaza mjini Addis Ababa, Ethiopia kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kwa kuanzisha vita dhidi ya Boko Haram.
Uamzi wa pamoja umechukuliwa na Umoja wa Afrika wakati wa kikao chake cha Baraza la amani na usalama Alhamisi Januari 29 jioni mjini Addis Ababa, Ethiopia na kuhudhuriwa na zaidi ya marais kumi na tano.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan na rais wa Cameroon Paul Biya hawakushiriki kikao hicho. Umoja wa Afrika unaunga mkono kikosi cha kimataifa cha wanajeshi 7500.
Lengo la Umoja wa Afrika ni kushawishi Umoja wa Mataifa kufadhili mashambulizi ya kikosi hicho cha Umoja wa Afrika.
Uamzi huo umechukuliwa na marais na viongozi wa serikali za Afrika Alhamisi 29 Januari mjini Addis Ababa, ambao wanakabiliwa na tishio la Boko Haram.
Mwezi ujao, Umoja wa Afrika utakutana rasmi na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ili kuliomba kusaidia, kupitia mfuko wa amani, msaada wa vifaa na fedha kwa kikosi cha kimataifa chenye wanajeshi 7500, ambao watatakiwa, kwa mujibu wa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, kupambana dhidi ya Boko Haram.
Umoja wa Afrika unaunga mkono jitihada za jumuiya ya nchi zinazochangia Ziwa Chad, za kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kutoka Nigeria, Chad, Cameroo, Niger na Benin.
Uamzi huu umechukuliwa na zaidi ya marais kumi na tano ambao ni wajumbe wa Baraza la amani na usalama, uamuzi ambao unatazamiwa kupitishwa katika mkutano mkuu wa marais na viongozi wa serikali ambao utadumu siku mbili kuanzia Ijuma wiki hii.
Nigeria na majirani zake wameafikiana juu ya msimamo wa pamoja, baada ya miezi ya kutoaminiana na kutokuelewana. Lakini kama Umoja wa Afrika, kupitia jumuiya ya nchi zinazochangia ziwa Chad, una wanajeshi, bao unakabiliwa na ukosefu wa vifaa vya kijeshi na fedha.
Chanzo:http://www.kiswahili.rfi.fr
Francis: Church elites must not ‘privatise’ faith
Pope Francis (CNS)
Pope makes comments during Mass at his residence in the Vatican
Pope Francis has warned the faithful that Church “elites” must be careful not to “privatise” faith by acting as if salvation is just for them and their associates.
The Pope made the comments in his homily at his early morning Mass on Thursday in the chapel of the Domus Sanctae Marthae where he lives.
“This is a very big mistake; it is what we call and see as ‘ecclesial elites.’ When these little groups are created among the people of God,” he said, “they think they are good Christians, and perhaps they have good intentions, but they are little groups that have privatised salvation.”
The Pope’s homily focused on a reading for the day’s Mass from Hebrews 10:19-25, talking about Christ’s one sacrifice for all and about persevering in faith. The reading explains how Jesus’ sacrifice opened “a new and living way” that allows Christians to enter God’s presence.
Each person’s personal encounter with Christ — the experience that “the Lord looked at me, gave his life for me, opened this door, this new way for me” — might lead some people to forget that Jesus also saved each person as “a people, as a Church,” the pope said.
“The Lord saves us as a people,” he said, which is what the reading underlines when it talks about the need “to rouse one another to love and good works” and not “stay away from our assembly, as is the custom of some, but to encourage one another.”
Encouraging each other in holiness recognises that “salvation isn’t just for me. If I understand salvation in this way, I am wrong; I’m on the wrong path. The privatisation of salvation is the wrong way,” he added.
Sometimes “when we are in a meeting — at the parish, with a group — we judge others,” he said, and “there is a kind of contempt for the others. And this is not the door, the new and living way that the Lord opened.”
By “scorning others, deserting the whole community, deserting the people of God,” these Christians “have privatised salvation” thinking it is exclusive to their inner circle of “elites,” he said. But “God saves us as a people, not as elites that we, with our philosophies or our way of understanding the faith, have created.”
Instead, the three elements of Jesus’s “new and living” way are: having “faith in Jesus who purifies us,” having unwavering hope in his promise and looking outward to encourage one another to be loving and charitable, he said.
People should ask themselves, Francis continued, “If I speak, do I communicate the faith? I speak, do I communicate hope? I do something, do I communicate charity?”
He added: “If you don’t speak in a community, if you do not give encouragement to one another in these three virtues, the members of that community have privatised the faith” and are only looking out for themselves and “not the salvation of everyone, the salvation of the people.”
Chanzo:francis-church-elites-must-not-privatise-faith
Na Yericko Nyerere Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.
Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa muda mrefu, lakini wengi wetu wanachukulia mambo ya juu juu tu bila kujua undani na utendaji uliotukuka wa mtu huyu.
Machache kati ya mengi kuhusu Dr Slaa kabla ya kuwa Mwanasiasa na hatimaye kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, ana mlolongo wa mambo mengi ambayo yanaonyesha ubunifu wa hali ya juu, na pia mwepesi kuwaelewa vijana na kuendana nao tofauti na watu wengine wa kizazi chake.
Pamoja na kuwa mwanachama wa CCM, baada ya kuombwa na Wanakaratu agombee ubunge kule baada ya kuchoshwa na mbunge aliyekuwepo wakati huo, CCM iliendelea na mizengwe ile ile kama ilivyo desturi ya chama hiki kuwakwepa watu wakweli, Wanakaratu wakiamua hawataki longolongo, wakamsihi kwamba wameamua awe mbunge wao na wakamwomba achague chama kingine agombee kwani hawamtaki kabisa mbunge aliyepo. Kwa ridhaa ya wananchi akaamua kujitoa CCM na kujitosa kujiunga na Chadema baada ya kuridhishwa na itikadi ya Chadema, akagombea ubunge kuridhia matakwa ya wanakaratu.
Kabla ya kuwa mwanasiasa kuna mengi ya maendeleo ambayo wengi tunayaona huku tusijue kama Dr. Slaa ndiye aliyebuni na kuyaendesha kama ifuatavyo.
Dr. Slaa ndiye amekuwa wa kwanza Tanzania kuagiza big truck for load and unload makontena bandari ya Dar es Salaam wakati akiwa Katibu Mkuu TEC. Ilikuwa ni miaka ya 1980th, hakukuwa hata kampuni au watu binafsi waliothubutu kufanya hivyo. Truck hilo lilikuwa na crane za kupakia na kupakua bila taabu kokote linalokifkishwa container na kwa truck hilo. Baadaye makampuni yakabembeleza wauziwe gari ile, ndipo Barala La maaskofu likawauzia. Kwa mara ya kwanza baraza la Maaskofu Tanzania lilipoanza kuwa na matumizi ya computer ikiwepo ofisi yake Dr Slaa kama katibu Mkuu, na taasisi za upashanaji habari ambazo zilikuwa chini ya uongozi wake ikiwa ni pamoja na:
Gazeti la kiongozi kuanza kutumia mfumo wa computer katika idara ya set up TMP (Tanganyika Mission Press) Kipalapala idara ya uchapishaji (printing) wakitumia Apple computers. TMP Book deparment Tabora mjini) idara ya maduka ya vitabu na usambazaji vitabu wakitumia Apple computers TAPRI idara ya tungo za mawasiliano vitabu TEC iliyokuwa na ofisi zake Seiminari kuu Kipalapala Tabora.
Idara hizo zilikuwa na matumizi ya computer na PageMaker & QuakExpress software ambazo kwa graphic designers ilikuwa kitu kigeni kisichozoeka bado Tanzania ukitilia maanani wakati huo tulikuwa na chuo kimoja tu cha ardhi kule Tabora kujifunzia Graphic Design kabla ya Ardhi Dar haijaanza kukamilika. Huo ni ubunifu wa Dr. Slaa kwa wakati huo wakati wengi Tanzania hawajafunguka kuhusu matumizi ya teknologia ya ulimwengu wa dot com.
Wakati huo chuo pekee cha mawasiliano (journalism) Tanzania kilikuwa ni Nyegezi-Mwanza pekee kilichokuwa kikiongozwa na AMECA (Balaza la Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati kimoja kikiwa Kitwe - Zambia, cha Nyegezi kiliendeshwa na TEC Dr. Slaa akiwa msimamizi mkuu kama Katibu Mkuu.
Dr. Slaa atakumbukwa sana kwa makubwa aliyofanya kujenga na kuikuza TEC
Makao makuu ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) tunayoona siku hizi ni matunda ya ubunifu wa Dr. Slaa alipokuwa Katibu Mkuu pale. Jengo la awali ni lile lililo upande wa mbele zinapotumika ofisi siku hizi ambapo yalikuwa madarasa ya shule ya sekondari ya Masisita Tanzania, ambayo baadaye ilihamishiwa Bigwa Morogoro kupisha kiwanja hicho kuwa makao ya Maaskofu Katoliki Tanzania, awali yalikuwa pale ofisi za St. Joseph, Dar es Salaam. TEC aliyoikuta DR. Slaa ilikuwa na jengo hilo la madarasa na jengo lilolokuwa la utawala wa shule. Dr. akabuni majengo ambayo tunayoana sasa, hata kama hayakukamilika yote waliofuata walikamilisha kazi alioyoianza. Kaone maendeleo na majengo katika jimbo la Mbulu ni jitihada za Dr. Slaa na Fr. Narda ambao kwa pamoja walifanya makubwa. Kaangalie jimboni kwake huduma za kijamii ambazo amezifanya, utachoka mwenyewe kiasi ambacho CCM imekimbiwa kabisa huko sababu utendaji wa Slaa huko na CCM ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu. Dr. Slaa kwa tunaomfahamu ni mwanamapinduzi na mpenda maendeleo, na pengine mengi alikuwa anayafanya yakaonekana mapya mno kwani alikuwa anaona mbali kuliko hawa wakubwa wake, ila sipendi kuliongelea sana hilo.
Chadema yaimarika baada ya Dr.
Ndani ya Chadema Dr Slaa akiwa katika kiti cha Mtendaji mkuu amefanya mageuzi mengi sana, ni mtendaji mkuu wa Upinzani pekee aliyeweza kuhimili mikikimikiki ya ya udgarimu wa serikali ya ccm inayotumia vyombo vyake vya dola kukandamiza upinzani, Moja ya mageuzi makubwa na yakutuka aliyoyafanya Dr Slaa ni kuunda idara imara ya ulinzi ya chama ambayo kwa liasi kikubwa imefanikiwa kukidhoofisha chama tawala ambapo kwa upepo huu mwezi wakumi upinzani utachukua dola rasmi.
Siyo siri Chadema hakikuwa na nguvu tunayoona sasa hivi licha ya kuwa na sera nzuri, lakini leo tunaona nguvu ya Chadema inayoogopewa mno na CCM ni kutokana na Chadema katika dakika za majeruhi kuamua kumwangukia Dr. Slaa agombee urasi ambao Samweli Sitta aliingia mitini baada ya makubaliano nao. Tangu hapo Chadema imekuwa na nguvu ya ajabu.
Je, vijana hao waliokuwemo ndani ya Chadema kabla ya Dr. Slaa kugombea Urais kwa nini hawakuipaisha juu Chadema kama sasa? Baada ya Dr. Slaa kuipaisha Chadema juu sasa tunakuja na kauli mbiu ya kubeza makubwa yaliyofanywa na hawa mnaowaita kizazi cha kabla ya uhuru. Hapana tuwe waungwana, pamoja na kila mmoja kuwa na haki za kugombea nafasi tusigeuze uhuru huo kuwabeza hawa ambao wametufikisha tulipo, na bado tunahitaji mchango wa ushauri, uongozi, hekima na busara zao. Uongozi bora ni kuchanganya mapya na ya kale kwani viatu vya zamani vyaijua njia. Ubunifu wa Chadema viongozi wakiwa mojawapo waliozaliwa kabla ya Uhuru Dr Slaa na Kamanda Mbowe:
Dr. Slaa ndiye mbunge ambaye baada ya kuingia bungeni alianza kuchangamsha kwa kuichambua serikali na kasoro zake kitu ambacho katika mabunge yaliyotangulia wabunge walikuwa ni rubber stamp ya serikali.
Chadema wakiwemo hao unaoona walizaliwa kabla ya uhuru wamebuni mapya katika shughuli na kampeni za uchaguzi Tanzania kuwa zenye mvuto kuanzia mkuktano wa ufunguzi wa kampeni uchaguzi Mkuu uliopita ulifanyika Kidongo Chekundu baada ya Dr. Slaa kushusha makumbora mazitomazito kuituhumu serikali, watendaji wa serikali na CCM, tuhuma ambazo CCM wanazidi kubabaika kuwanyoshea kidole wahusika kisha kuwakumbatia tena hivi karibuni kule Dodoma.
Mkutano wa Kidongo chekundu Dar es Salaam ndio ulioanza kutufungua macho na masikio Watanzania na kuanza kujifunza elimu ya uraia ambayo tulikuwa tunazibwa na CCM tusiijue. Dr. Slaa ndiye aliyetufunza na kutufunua kwamba raia wanayo nguvu ya kuiadabisha serikali haki zao za msingi zinapokiukwa kwa kauli mbiu ya nguvu ya umma (peoples power). Utumiaji wa chopper kufikia maeneo magumu kufikika kwa magari na kurahisisha kazi ya kampeni, CCM wakaiga. Kuwa na magari yanayotumika kama majukwaa ya mikutano badala ya kupoteza gharama na muda kujenga majukwaa yatakayotumika kwa dakika chache.
Ilani ya Uchaguzi Chadema 2010 ndiyo inayotumika na yenye uzito sasa hivi:
Fukuto la Katiba mpya linaloendelea sasa nchini ni uzao wa ilani ya Chadema na ilani ya Dr Slaa kwamba kinachofuata baada ya Uchaguzi mkuu ndani ya siku 10 Kikwete kufanya mabadiliko ya barala la mawaziri mara kadhaa ni kutokana na shinikizo la wabunge wa Chadema bungeni.
Kuna mengi tu wachangiaji wengine watachangia, ni dhana potovu kuwa na fikra za aina hiyo na kuwabeza wabunifu wa mengi, waliongoza nchi hii, wenye kuturithisha mengi kwa uzoefu na busara zao na walioongoza nchi hii hadi kuwa na utulivu wa aina yake. Leo vijana mnaowasema yanayojilia ni amani kusambaratika na mauaji ambayo ilikuwa hadithi za kusimuliwa kutoka nchi nyingine, leo serikali ya CCM inayoongozwa na Rais aliyechaguliwa kwa tiketi ya kupumbazwa umma ya kijana kuliko Rais mwingine aliyemtangulia imetwishwa na aibu kubwa ya kitaifa na kimataifa ya mauaji ya raia wasio na hatia.
Kuna nchi ambazo ni kielelezo cha vijana ambao mimi ningewaita watoto kukabidhiwa madaraka ya kuongozia nchi na kusababisha maafa makubwa kwa nchi husika kama Liberia, Ujerumani chini ya Hittler,
Vijana achaneni na uroho wa madaraka, vema kubaki watumishi na watendaji wazuri serikalini na vyamani kujifunza mbinu za uongozi na kupata uzoefu katika kuongoza nchi.
Kuongoza nchi hakuna shule wala kitabu cha kusomea au chuo. Hekima na busara ya mtu ndio kielelezo cha fanaka katika kuongoza nchi.
Vijana wana papara, wanataka njia ya mkato, pagumu wanataka kulazimisha bila busara wala kutumia akili Vijana wanalipuka kama moto wa gas mambo yakigeuka magumu ni mabavu hutumika
The Most Rev. Christopher Coyne, the Roman Catholic Church's first blogging priest to be elevated to bishop, has been formally installed as the head of the statewide diocese of Burlington.
More than 900 people jammed into St. Joseph Co-Cathedral in Burlington for the Installation Mass., which was broadcast internationally both on cable television and livestreamed on a couple of websites.
Coyne said the church needs to shift from a "church of the establishment" — where worshipers come to it — to a "missionary church" that goes out and engages a wider community.
"Now more than ever, our community needs to hear the call of the 'Good News' proclaimed to a culture that seems to hear many other voices," said Coyne, who mostly recently served four years as auxiliary bishop in Indianapolis.
"No one wants to join a church that lacks joy. When people who leave the Catholic Church to join other churches are asked why did you do so, the No. 1 answer is 'They made me feel welcome' followed by 'I find the services joyful and uplifting,'" The 56-year-old Massachusetts native said.
"If we are going to call people to our churches and they do happen to come in, what are they going to find? People who have the joy of the 'good news' in their hearts, people who are welcoming and encouraging, who celebrate the Church's liturgy with care and commitment or a people who 'mourn their religion.' Friends, both inside and outside we have to be about the 'Good News.'"
He said ringing church bells was once familiar to Vermonters. He says the bells still ring out, but less often, and fewer people answer the call.
Bishop Coyne's letter of appointment from Pope Francis was read, after which Cardinal Sean O'Malley of Boston, and Archbishop Carlo Maria Vigano, the pope's ambassador to the U.S. were there to witness Coyne sitting for the first time in the "cathedra" — the seat reserved for a bishop.
Coyne, Vermont's 10th Catholic bishop, also reached back into the history of the diocese for the Mass.
He used the crozier or bishop's staff, of Vermont's first bishop, Louis Joseph Mary Theodore DeGoesbriand. The pectoral cross Coyne wore belonged to the second bishop, John Stephen Michaud. The ring worn by Coyne was previously used by the last bishop of the diocese who also came from Boston, Vermont's fifth bishop, Edward Francis Ryan.
Coyne also used the chalice of Bishop DeGoesbriand, but the principal chalice and paten were the ones given to him by his parents at his ordination to the priesthood.
While Coyne showed his solemn side during his homily, he also showed his humorous side in his closing remarks.
Coyne, who frequently smiles, cashed in with some one-liners and jokes. He even chided his siblings — Smothers Brothers style — that their mother favored him.
"I think I won," as his mother, Rita, a former parish secretary, sat proudly in the first pew. His mother artfully dodged confirming the statement when asked by a newspaper reporter after the Mass.
Bishop Coyne also reflected on two special missing relatives: his late dad, Bill, a postal worker and one of his three older brothers, Terry, who also is dead.
Coyne also thanked his youngest sister, Anne Marie for letting her birthday take a back seat this week to his installation. He confided in some of his newest 900 friends that she was turning 50.
Coyne also provided appreciation to Monsignor John McDermott for running the diocese for the past 13 months. The congregation gave McDermott a standing ovation for his work.
Coyne quipped McDermott would find his transfer papers to Bennington on his desk — another one liner that the audience shared in laughter
Coyne spent much of his career in Massachusetts and before being appointed in 2011 in Indianapolis. He is the permanent replacement for Bishop Salvatore Matano, who was transferred to Rochester, N.Y., in 2013.
Matano was among about two dozen bishops to attend the Mass on Thursday.
Gov. Peter Shumlin, Burlington Mayor Miro Weinberger, Burlington Police Chief Michael Schirling and Deputy Adjutant General Michael Heston were among the civic leaders attending.
Prayer service
During a Wednesday night ceremony, as bishop designate, Coyne went knocking on the doors of the Cathedral of the Immaculate Conception in Burlington.
In a Catholic tradition that dates back to the Middle Ages, bishops knock three times on the doors of the Cathedral when they arrive for their new assignment.
"It is with great joy that we welcome you Bishop Coyne to the Diocese of Burlington in the name of all the faithful of the diocese," said the Rev. Peter A. Routhier, the rector of the cathedral and St. Joseph's Co-Cathedral, as the church doors opened.
Routhier and McDermott, the Apostolic administrator of the diocese for the past 13 months, greeted Coyne and escorted him inside.
Coyne was handed a crucifix to kiss. Monsignor Bernard Bourgeois handed Coyne holy water to sprinkle on himself and others around him before moving to the front of the church.
McDermott told the packed cathedral that "fervent prayers" for the past year have been answered with the arrival of Coyne, who will lead Vermont's largest religion. "We must increase our prayers for him," McDermott said.
Coyne was then greeted with a standing ovation.
The ritual of a prelate's first entrance into his cathedral — including the knocks on the door — dates to when people often kept vigil in the building for months, or even years, to await their next leader's arrival, explained Don Clemmer, interim director of Media Relations for United States Conference of Catholic Bishops.
Coyne formally took possession of cathedral for the statewide Roman Catholic diocese during the community-wide prayer service Wednesday night.
Coyne, who sprinkled a few of his beliefs, some history and a little humor, into his 12 1/2 minute homily, thanked both religious and civic leaders and the faithful for attending.
"I am not a politician. I am a pastor. I am not a policy-maker. I am a preacher and teacher of the Catholic faith. My desire is to teach what the church teaches, to preach the Good News of Jesus Christ, and inform the consciences of my fellow Catholics about what we believe and why we believe," he said.
Coyne, who said in a Burlington Free Press interview last week that the church needs to help with social issues, including feed the hungry and offer shelter for the homeless, repeated that call.
"The Golden Rule urges me to feed the hungry person because that is what I would want if I was hungry. An act routed in communal charity and aimed at the common good urges me to look even further, to the roots of and possible solutions to poverty," he said.
"It is best summed up in the familiar adage, 'Give someone a fish and you feed them for a day. Teach someone to fish and you feed them for a lifetime,'" Coyne said.
"My hope and prayer is that we can all work within a unity of charity that probes the deeper questions of how to further both the individual and the common good while seeking only that that good be returned in kind."
Coyne had encouraged people attending to bring a food donation for the Chittenden Emergency Food Shelf.
Coyne, who is considered the first blogging bishop in the Catholic Church, is known internationally for his social media presence. His blog is: "Let Us Walk Together: Thoughts of a Catholic Bishop" and includes video of him on the road to Vermont with personal reflections.
He also is active on his Facebook and Twitter accounts.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, huku Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani Bw. Gerd Muller, Rais wa Mali Mhe. Ibrahim Boubacar Keïta jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha jioni cha mazungumzo na harambee ya kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, kabla ya kuanza kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenkekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha mchana cha mazungumzo baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo ya GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kupokea tuzo ya GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwakilishi wa ubalozi wa Uganda nchini Ufaransa baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. Ubalozi wa Tanzania ulikuwa katika majengo ya ubaloizi wa Uganda kabla ya New Zealand kuiuizia anzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Vitisho vya vifokwa watetezi wahaki za binadamu,wengi waoviongozi wa kanisa,yamefanywana kundikijeshikatikaColombia.Baraza la Umoja waMakanisa(WCC), miongoni mwa mashirika mengine ya kimataifaametoa wito kwa serikaliya Colombiakulinda maisha yao.
Tarehe 14Januari,TumeWCCjuu yaofisiya Masuala ya Kimataifaalipokea ujumbe kutoka kwaviongozi wa kanisa katikaColombiakuhusuvitisho vya kifohurled saayaona kundiya kijeshi.Ujumbealisema kuwatarehe 11Januari,39binadamuwanaharakati wa haki za, maarufu kwa muda waokwa muda mrefukujitoa nakazijuu ya haki, nchi kurekebishwana uendelezaji wamchakato wa amani,walikuwammoja mmojaaitwaye katikaorodhailiyotolewa naAguilasNegras, shirika kijeshi, na ilikuwa postedonline,baadayetaarifa kwagazetiColumbianElHeraldo.
Kundiparamilitarywazi alisema kuwawatu haoni kuchukuliwamalengo ya kijeshi, na kusema nia yao yakuondokana nao.
Miongoni mwa wanaharakatiwa haki za binadamuzilizotajwa,pia kuna idadi yaviongozi maarufuColombiakanisa, kama vileAgustinJimenezkutokaTeusaquilloMennoniteChurch, FrFernandoSanchezkutokaKanisa la Anglikana nchiniCaribbeanCoast, JairoBarriga, Ujerumani Zarate, Mchungaji MiltonMejiayaPresbyterian ChurchyaColombianaFrFernandoGaryMartinezkutokaKanisa Katoliki.
"WawakilishiChurchkuonekana katikaorodha hiini wanachamayenye kuheshimiwaya kimataifaharakati ya kiekumeniambayemakanisamwanachamaWCCkuwa na kazizaidi ya miaka," alisema kaimukatibu mkuuWCCyaGeorgesLemopoulos, katika barua iliyotumwa kwaRais DkColombiaJuanManuelSantosCalderón, iliyotolewatarehe 29 Januari.
"Wao nimaalumu kwa ajili yadhamira yaoboraKikristo nashahidijasirikatikamapambano kwa ajili yamaisha,amani, haki naheshima ya binadamukatikaColombia," alisema Lemopoulos.
Alielezeakama"disturbingsana" Ukweli ni kwamba viongozi wa kanisa nawanaharakatikushiriki katikakukuza haki za binadamuna amaninawenyewe kuwamalengo yavurugu.Pia alizungumziawasiwasi kwambavitishokama ingekuwakuzoroteshakazi ya watetezi wahaki za binadamukwa kujenga "hali ya hewa ya kueneahofu."
WCC,katika mshikamano namakanisana vyama vya kiraiakatikaColombia,amewatakaColombiaserikali "kuchukua hatua zote muhimukwa ufanisi kulindamaishana uadilifuwa kimwili waviongozi wa Kanisazilizotajwa hapo juukama vile yakilawateteziwenginewa haki za binadamuchini yatishio, kutekelezakujitegemea na waadilifuuchunguzi katikawaandishi wavitisho hivinakutokanakesina adhabusahihi;kukumbuka yamajukumu yakekwa heshima nausalama na ulinzi wawale wanaofanya kazikwa ajili ya ulinziwa haki za binadamu, na katika mwanga wa hili,kuchukuaharaka nahatua madhubutimuhimu ili kuhakikisha kuwaviongozi haowa Kanisana haki za binadamuwateteziinaweza kuendeleakazi yao yakutetea haki za binadamuna heshima ya binadamu, na bila hatari naunyanyapaa."
Zaidi ya miaka kadhaa, WCC imekuwakuandamanamakanisa nawatukatikaColombiakatikamapambano yao yakumaliza mgogorowa kutumia silaha.Barazaimeandaaziaramshikamano katikanchi,na miili yakeya uongoziwametoataarifa kwa ummakulaaniukiukajiwa haki za binadamu, wito wa mwisho kwamigogoro ya kivita natunashangiliahatuakuelekeamazungumzo ya amani.
Mkutano wa kila mwakakati yamaafisa waWCCnaPCID Picha:VaticanInformation Service
Januari 23, 2015
WakatiWiki yaMaombi kwa ajili yaUmoja wa Kikristo, mkutano wa kila mwakaulifanyika kati yamaafisa waMazungumzoInter-dini na Ushirikiano watimu yaBaraza la Umoja waMakanisa(WCC)na Baraza laKipapa kwa ajili yaMazungumzoInter-dini (PCID).
Mkutano piainayotolewanafasi ya kutafakarijuu ya ushirikianokati ya baadayetaasisi hizo mbili, ambayo wameshirikianakwa miaka kadhaa sasa, ili kubadilishana mawazo nakwa lengo laiwezekanavyomipangoya baadayepamoja.Taasisi hizo mbilininia ya kufanya kaziecumenicallyambapo inafaaili kuimarishamazungumzobaina ya dinikati ya Wakristo nawawakilishi wa jamiiya imani.
Kutoa shukrani kwa ajili: •urithi tajiri nambalimbali yamakanisa,kubwa na ndogo,katika nchi hiziNordic. •Ecumenicalna kirohoupyaharakati kwambakuletakiwangompyana kinaimani ya Kikristo. •shahidikwa ajili ya hakina amaniambayo inawezakuwa mfanona nguvu yamapumziko ya dunia. •Mfano wakutoakwa ajili ya maendeleoya watu wengine. •Snownaskiing,misitu namilima, maziwanafiords. •usikunyeupe yamajira ya joto nabaridiwazimwanga.
Kuomba kwa ajili ya: •Juhudi zakukabiliana navurugu,rangi /ubaguziwa kikabila,na matumizi mabaya yawanawake na watoto. •Haki sawanakujitawala yawatu wa asili. •Wakimbizi nawahamiaji ambaokutafuta maisha borakatika nchi hizi. • MakanisaWalekujaribu kupatampyavitality,ili waweze kuwamashahidi waaminifu iliInjili.
sisi kukusanyapamoja kabla- katikashukranikwa ajili ya zawadiya maisha,
na katika maombikwa ajili ya duniakujeruhiwa.
Amina
Siku ya Mazingira Dunianimwaka 2007. Hiini tafsiri yapamphletrasilimaliiliyochapishwa naKanisa laNorwayBaraza laEcumenicalnaUhusiano wa KimataifakatikaAprili 2007. Imetafsiliwa kwa Kiswahili sasa
Sisi kushirikiduniaya kawaida. Sisikushiriki furahaya kawaidaya maisha, yakuombolezanamaumivu. Sisi kushirikiajabuya kupanda na mavuno yaudongoyetu ya kawaida. Sisi kushirikimkatekawaidakatika nyumba zetu. Sisi kushirikisikukuu yamvinyo. Sisi kushirikiimaniyetu ya kawaidakatika Kristo,Mwokozi wetu. Lakini sisi badohawezi kushirikimeza ya kawaidakatikamakanisa yetu. Kwa nini,Mungu, kwa nini? Mungu waumoja, basimezaya maridhiano kuwamezaya kweli yaumojakwa ajili ya ufalmewako. Chanzo:http://www.oikoumene.org/en/resources/prayer-cycle/week-5
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.
Afisa Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akimshukuru Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya Siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha Maafisa Ha oleo Mjini Mtwara
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM na ndugu wa aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi lake lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitia sahihi kitabu cha wageni kwenye kaburi la hayati Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba.
Kaburi la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ,Hayati Dk.Omari Ali Jumaaliyefariki tarehe 4 Julai 2001
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akiwa na Sheikh Ali Abdala Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Vuai Ali Vuai , Balozi Ali Karume(kushoto) wakizungumza baada ya kuzuru kabuli la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi lake lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba.
Chanzo: MJENGWA BLOG
AU:'Lazima Boko Haram washindwe vita'
Mwenyekiti wa muungano wa Afrika, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuchukua hatua madhubuti za kupambana na tisho la usalama linalotokana na kundi la Boko Haram.
Nkosazana Dlamini-Zuma ameambia kikao cha AU kinachoendelea nchini Ethiopia, kwamba unyama unatotendwa na kundi hilo sio tisho tu kwa Nigeria bali kwa bara zima.
Mkutano wa wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika umeanza leo nchini Ethiopia ambapo viongozi wa Afrika wanatarajiwa kujadili masuala muhimu yanayolikumba bara la Afrika kwa sasa.
Baadhi ya maswala yatakayopewa kipaombele kwenye mkutano huo ni tisho la usalama linalotokana na Boko Haram nchini Nigeria, pamoja na juhudi za kupambana dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.
Licha ya kauli mbiu ya mkutano huo wa siku mbili kuwa swala la kuwawezesha wanawake, viongozi kutoka nchi 54 wanachama wa Muungano huo watalazimika kuangazia swala la migogoro ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa bara la Afrika.
Mwenyekiti wa muungano huo, Nkosazana Dlamini-Zuma amepigia debe swala la umoja katika kupambana na wapiganaji wa kiisilamu wanaoendelea kuteteresha amani katika bara hilo.
Mnamo siku ya Alhamisi, baraza la usalama na amani la AU, lilitoa wito wa haja ya kuwepo kikosi cha wanjeshi 7,500 kupelekwa katika maeneo yanayokumbwa na migogoro Afrika.
Wakati huo huo Kenya inatarajia kutuma ujumbe mzito kwenye mkutano huo kama mwanzo wa hatua yake ya kukata uhusiano na Mahakama ya jinai ICC.
Katika kikao kilichopita cha Umoja wa Afrika kilichokaa mjini Malabo Equatorial Guinea wajumbe walisaini mkataba wa uundwaji wa mahakama ya Afrika itakayoshughulikia kesi za Afrika badala ya kuzipeleka kwenye mahakama ya ICC, baadhi yao wakidai kuwa kesi za mahakama hiyo zinawalenga waafrika pekee.
Aliyekuwa kiongozi wa makaburu aachiliwa
Kiongozi wa zamani wa utawala wa kiimla wa makaburu nchini Afrika Kusini na ambaye alikuwa kinara wa kuongoza kitengo hatari cha kuwatesa watu weusi, Eugene de Kock, amesamehewa, kuhurumiwa na kuondolewa gerezani.
Eugene Alexander de KOCK alikuwa akitumikia hukumu ya mauwaji na mateso kwa wakereketwa wengi wa chama cha ANC, lakini sasa waziri wa haki na sheria Nchini Afrika Kusini, Michael Masutha, amesema kuwa de Kock ameachiwa huru kwa manufaa ya umoja wa kitaifa.
Alikuwa ametubu mbele ya tume ya haki na maridhiano kwamba alikuwa amesababisha zaidi ya vifo vya watu mia moja na pia kuhusika katika vitendo vya kuwatesa watu kinyama na ufisadi, hasa akiwalenga waliokuwa wakipinga utawala wa ubaguzi wa rangi.
Kanali huyo wa zamani wa polisi aliyekuwa na mataji mengi mno alisamehewa kwa mengi ya makosa aliyofanya, lakini akazuiliwa gerezani kwa makosa dhidi ya binadamu kabla ya kufungwa jela maisha.
Tarehe ya kuachiwa huru kwake kwa sasa bado ni siri.
KANISA LA KWANZA KUJENGWA-USHARIKA WA KWANZA KABISA
MAARUFU "POMERN" POMERINI
IT’S ESTABLISHMENT
Iringa Diocese was established in 26thSeptember, 1987 with registration number SO.6906
VISION STATEMENT
“…I came that they may have life, and have it abundantly” (John 10:10b RSV)
MISSION STATEMENT
Iringa Diocese exists to witness, live in Christian fellowship and to serve the people created in the image of God Spiritually, Physically and Economically.
CORE VALUES
Evangelization
Christian nurture
Unity in Christ
Praise and worship
To identify and uphold the life of poor and oppressed
To work in partnership
LEADERSHIP
Bishop RT. REV. DR. OWDENBURG MOSES MDEGELLA
Assistant to the Bishop REV. BLASTON TULUWENEGAVILE
Pope Francis greets pilgrims present in the Vatican's Paul VI Hall for his Jan. 28, 2015 general audience.
Vatican City, Jan 28, 2015 In his general audience catechesis, Pope Francis turned to the role of fathers, saying that they play an irreplaceable role in family life, and their absence leaves children prey to false idols.
“When children feel neglected by fathers who focus only on their problems, on their work or their own personal realization, this creates a situation of orphans in the children and youth of today, who live disoriented, without the good example or prudent guidance of a father,” the Pope said Jan. 28.
Pope Francis directed his words to pilgrims gathered in the Vatican’s Paul VI Hall for his Wednesday general audience address. Continuing his catechesis on the family, the pontiff spoke on the theme of fatherhood.
The Pope’s reflection falls after a separate general audience address on the role of mothers earlier this month, during which he hailed motherhood as the “antidote to individualism.”
In today’s society, the word “father” is a reality understood throughout world and which transcends history, the Roman Pontiff told today’s audience participants.
This word, he said, is the one “which Jesus taught us to call God, giving new depth and richness to the mystery of the intimacy of God the Father, Son and Holy Spirit, which is the center of our Christian faith.”
However, in modern times we frequently speak of a “society without fathers,” in which the crisis of fatherhood can lead one to associate the term with authoritarian and repressive tendencies, the Pope noted.
Children who feel “neglected” because their fathers focus too much on work, personal achievements or are constantly away from home are often left as “orphans” without guide, he said.
“Fathers are so necessary as examples and guides for our children in wisdom and virtue. Without father figures, young people often feel orphaned; left adrift at a critical moment in their growth and development,” the pontiff continued.
Pope Francis then recounted how he has often asked the fathers he encountered if they “had the courage and love” to play with their children and to spend time with them.
Rather than hearing a reassuring yes, often “the answer is ugly, eh? In the majority of cases it's ‘I can't, there's too much work,’” the Bishop of Rome observed, and said that it is the responsibility of Christian communities and civil society as a whole to find a remedy to the crisis of fatherhood.
The pontiff also drew attention to the temptation of some fathers to try and be their child’s friend more than their parent, saying that although being a friend and companion to one’s child is good, the role of the parent is essential.
“It's true that you need to be the friend of your child, but without forgetting that you are a father, eh. If you are only there for your child as a friend, it won't be good for them,” he cautioned.
The absence of the father figure in society is something that persons at every level of society should be aware of because it leaves “gaps and wounds” in the formation of today’s youth, the Pope explained.
“Without guides to rely on, youth can be filled with idols that end up stealing their heart, enthusiasm and genuine wealth,” he said.
Pope Francis closed his address by recalling Jesus’ promise in the Gospel of John that “he would not leave us orphans,” and prayed that the Lord would “deepen and renew our appreciation of fatherhood and raise up good fathers for the benefit of our families, our Church and our world.”
The pontiff said that although the prognosis he gave of state of fatherhood today might have been a bit negative, next week he will follow-up with a reflection on the blessing and “beauty” of fatherhood.
“I chose to begin in darkness in order to arrive to the light,” he said, and gave his blessing before greeting pilgrims present from various countries around the world.
Social Buttons