Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, March 17, 2018

Slovakia: Waziri Mkuu ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico ameandika barua ya kujiuzulu kwenda kwa Rais wa nchi hiyo, baada ya mauaji ya mwandishi wa habari Jan Kuciak na mpenzi wake Martin Kusnirova.

Rais wa taifa hilo, Andrej Kiska amekubaliana na uamuzi huo wa Waziri Mkuu na kumuagiza Naibu Waziri Mkuu Peter Pellegrin kuunda Serikali mpya.

Kwa takribani wiki mbili wananchi wamekuwa wakiandamana kupinga mauaji ya mwanahabari huyo aliyebobea katika kuandika habari za kiuchunguzi.

Bwana Robert Fico amehudumu katika nafasi ya Waziri Mkuu wa Slovakia kwa miaka 10 amelazimika kuchukua uamuzi huo baada ya chama kimoja cha upinzani kilichoshiriki kuunda Serikali kutangaza nia ya kujitoa katika Serikali ya nchi hiyo
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment