Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 18, 2018

Rais Ramaphosa aahidi kupambana na rushwa



Rais mpya wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameahidi kupambana na rushwa nchini humo.

Cyril Ramaphosa ameyazungumza hayo wakati wa hotuba yake ya kwanza kwa taifa toka kuondolewa madarakani kwa Jacob Zuma.

Cyril Ramaphosa ameahidi kuwa atapambana na rushwa katika mashirika ya kiserikali na  vilevile atahakikisha anavutia wawekezaji zaidi nchini.

Uchunguzi dhidi ya wala rushwa utaanza kufanywa rasmi.

Familia ya Gupta ni kati wale waliotuhumiwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa Jacob Zuma kwa malengo yao wenyewe.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment