Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 12, 2017

Everton wametua Dar, Rooney pia yumo

KLABU ya Everton ya Uingereza tayari imewasili katika ardhi ya Tanzania tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kesho dhidi ya Gor Mahia ya nchini  Kenya, mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wakali hao wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi na kupokelewa na uongozi wa wadhamini wao, SportPesa ambao ndio wamewaleta hapa nchini ambapo baada ya kuwasili wameelekea hotelini kwa ajili ya mapumziko kisha baadaye watapata fursa ya kufanya mazoezi.
Hiki hapa kikosi kamili cha Everton waliowasili Tanzania leo:
Maarten Stekelenburg, Mateusz Hewelt, Chris Renshaw, Tom Davies, Phil Jagielka, Ashley Williams, Callum Connolly, Jonjoe Kenny, Michael Keane, Muhamed Besic, Leighton Baines, Morgan Schneiderlin, James McCarthy, Davy Klaassen, Gareth Barry, Idrissa Gana Gueye, Joe Williams, Kieran Dowell, Kevin Mirallas, Wayne Rooney, Aaron Lennon, Dominic Calvert-Lewin, Ademola Lookman, Matthew Pennington, Yannick Bolasie.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment