Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, May 13, 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 24, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017


nda1
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake leo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
nda2
Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani KIkwete akizungumza jambo na wabunge wenzie katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
nda3
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
nda4
Mbunge wa Hanang’ Mhe.Mary Nagu  akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Martha Umbulla katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
nda5
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashitu Kijaji akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Mhe.Juma Nkamia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
nda6
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Suleiman jafo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
nda7
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.Hussein Bashe akisoma Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment