Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, May 20, 2017

Lema : Meya na wenzake watasota Mahabusu


Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametabiri kuwa kuna uwezekana kuwa Meya wa Jiji la Arusha na wenzake wataendelea kuwekwa mahabusu mpaka wiki ijayo
Lema ametoa Utabiri huo kwenye ukurasa wake wa Twitter.

"Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell."-Lema.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment