Writen by
sadataley
1:41 PM
-
0
Comments

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa
(NEC), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo ameanza ziara ya
kutembelea Halmashauri za Manispaa za Jiji la Dar es Salaam kwa kuanzia
Ilala.
Ziara yake hiyo itampeleka pia Kigamboni, Temeke, Ubungo na Kinondoni kabla ya kuelekea katika mikoa mingine nchini.
No comments
Post a Comment