Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, February 10, 2017

Rais Magufuli aokoa Bilioni 900 kwa kuzuia safari za nje

Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kuwa serikali imeokoa takribani bilioni 900 tangu Rais Magufuli azuie safari za nje za viongozi.

Hii ni kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu aingie madarakani.

Inaelezwa kuwa, tangu zuio hilo, safari zisizo na tija zimeweza kuepukwa kwa kiwango cha 36% mpaka sasa.
Chanzo ni Muungwana blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment