Writen by
sadataley
8:25 AM
-
0
Comments
Ray Tomlinson raia wa Marekani ambae ni mtu wa kwanza kuvumbua utumaji wa barua pepe(email) amefariki dunia.
Tomlinson amefariki akiwa na umri wa miaka sabini na nne.
Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia mitandao mbali mbali. Mwaka 1971.
Aliandika ujumbe wa kwanza wa barua pepe wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa Computer, pia alikua mwanzilishi wa matumizi ya alama "at"(@)kuwa ndio alama kuu ya utumaji wa barua pepe.
Wakati wa uhai wake Tomlinson alisema hawezi kukumbuka barua pepe yake ya kwanza ilielezea nini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment