Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, March 5, 2016

Dola bilioni 20 za Nigeria zafichwa ugenini

Benki kuu ya Nigeria imesema kuwa baadhi ya matajiri nchini humo wameficha dola bilioni 20 katika akunti zao za kubadilishana fedha za kigeni. Gavana wa Benki Godwin Emefiele amewaambia mawakili kwamba ufichaji huo unatishia thamani ya sarufu ya Nigirea,Naira. Onyo hilo linajiri huku serikali na benki kuu zikijaribu kudumisha thamani ya sarufi hiyo ambayo kwa sasa inabadilishana Naira 200 kwa dola moja. Bwana Emefiele pia amedai kwamba watu fulani wanaharibu thamani ya Nair kupitia uvumi. Nigeria hutegemea sana mauzo ya mafuta ili serikali kupata mapato pamoja na fedha za kigeni. Kushuka kwa bei ya mafuta kumepunguza hifadhi ya fedha za kigeni za taifa hilo.Chanzo:BBC SWAHILI
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment