Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, August 1, 2015

Kunani vyuo vikuu vya Afrika Mashariki ?

Jarida la ''The Times Higher Education'' lilitumia idadi na ubora nukuu kutoka kwa wasomi wake. Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika. Katika utafiti uliofanyika majuzi, vyuo vikuu vya Afrika Kusini vilishika nafasi 6 katika orodha ya vyuo vikuu kumi bora. Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimeorodheshwa katika nafasi ya tatu. Chuo kikuu cha Port Harcourt kilichoko Nigeria kimeorodhesha katika nafasi ya sita. Kunani vyuo vikuu vya Afrika Mashariki ? Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya kimeorodheshwa katika nafasi ya nane. Jarida la ''The Times Higher Education'' lilitumia idadi na ubora nukuu kutoka kwa wasomi wake. Je viwango vya ubora wa masomo na utafiti wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vimeshuka ? Jadili Orodha kamili. Chuo kikuu cha Cape Town - Afrika Kusini Chuo kikuu cha Witwatersrand - Afrika Kusini Chuo kikuu cha Makerere - Uganda Chuo kikuu cha Stellenbosch - Afrika Kusini Chuo kikuu cha KwaZulu-Natal - Afrika Kusini Chuo kikuu cha Port Harcourt - Nigeria Chuo kikuu cha Western Cape - Afrika Kusini Chuo kikuu cha Nairobi - Kenya Chuo kikuu cha Johannesburg - Afrika Kusini Chuo kikuu cha Cadi Ayyad - Morocco Chanzo:BBC Swahili
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment