Writen by
sadataley
10:15 AM
-
0
Comments
Mfalme Abdullah wa Saudia afariki dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudia Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.
Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.
No comments
Post a Comment