Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, February 14, 2020

Daniel arap Moi: Maisha yake katika picha


Aliiongoza Kenya kwa miaka 24, awali akikonga mioyo ya wananchi na kuungwa mkono na wananchi wake, lakini utawala wake pia ulikumbwa na hali ngumu ya kiuchumi na kashfa za rushwa.
Akiwa kama mjumbe wa baraza la kutunga sheria la Kenya, Daniel arap Moi na Michael Blundell walihudhuria mkutno wa pili wa Lancaster jijini London Februari 1962. Mkutano huo ulijadili uhuru wa Kenya kutoka kwa Uingereza.Haki miliki ya pichaGOOGLE
Image captionAkiwa kama mjumbe wa baraza la kutunga sheria la Kenya, Daniel arap Moi na Michael Blundell walihudhuria mkutno wa pili wa Lancaster jijini London Februari 1962. Mkutano huo ulijadili uhuru wa Kenya kutoka kwa Uingereza.
Presentational white space
Akateuliwa kuwa makamu wa rais wa Mzee Jomo Kenyatta mwaka 1967.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionAkateuliwa kuwa makamu wa rais wa Mzee Jomo Kenyatta mwaka 1967.
Presentational white space
Aliapishwa kuwa rais baada ya kifo cha Jomo Kenyatta mwaka 1978.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAliapishwa kuwa rais baada ya kifo cha Jomo Kenyatta mwaka 1978.
Presentational white space
Mzee Moi akikutana na Waziri Mkuu wa India Bi Indira Gandhi uwanja wa ndege Nairobi Septemba 1981.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMzee Moi akikutana na Waziri Mkuu wa India Bi Indira Gandhi uwanja wa ndege Nairobi Septemba 1981.
Presentational white space
Malkia Elizabeth II akihutubia katika dhifa ya kitaifa pamoja na Rais Moi, katika ziara ya siku nne ya Malkia nchini Kenya mwaka 1983.Haki miliki ya pichaPA MEDIA
Image captionMalkia Elizabeth II akihutubia katika dhifa ya kitaifa pamoja na Rais Moi, katika ziara ya siku nne ya Malkia nchini Kenya mwaka 1983.
Presentational white space
Akichoma moto shehena kubwa ya pembe za ndovu zenye thamani ya dola milioni 3 ili kuonesha msimamo wake juu ya vita dhidi ya ujangili mwaka 1989.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAkichoma moto shehena kubwa ya pembe za ndovu zenye thamani ya dola milioni 3 ili kuonesha msimamo wake juu ya vita dhidi ya ujangili mwaka 1989.
Presentational white space
Akiwaambia maafisa wa chama tawala kipindi hicho Kenya African National Union (Kanu) kuwa mwisho wa siasa za chama kimoja Kenya zimefika tamati mwaka 1991. Mwaka uliofuata alishinda uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionAkiwaambia maafisa wa chama tawala kipindi hicho Kenya African National Union (Kanu) kuwa mwisho wa siasa za chama kimoja Kenya zimefika tamati mwaka 1991. Mwaka uliofuata alishinda uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
Presentational white space
Akikagua gwaride la heshima kabla ya kufungua bunge jijini Nairobi mwaka Nairobi mwaka 1992.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionAkikagua gwaride la heshima kabla ya kufungua bunge jijini Nairobi mwaka Nairobi mwaka 1992.
Presentational white space
Akipungia wafuasi wake baada ya kuapishwa kwa muhula wa mwisho madarakani mwaka 1998.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionAkipungia wafuasi wake baada ya kuapishwa kwa muhula wa mwisho madarakani mwaka 1998.
Presentational white space
Mzee Moi akikutana na Waziri Mkuu wa India Bi Indira Gandhi uwanja wa ndege Nairobi Septemba 1981.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMzee Moi akikutana na Waziri Mkuu wa India Bi Indira Gandhi uwanja wa ndege Nairobi Septemba 1981.
Presentational white space
Daniel arap Moi akiwa pembeni ya rais-mteule Mwai Kibaki wakati wa hafla ya kumuapisha Kibaki mwezi Disemba 2002, na huu ndio ulikuwa mwisho wa utawala wa miaka 24 ya Moi madarakani.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDaniel arap Moi akiwa pembeni ya rais-mteule Mwai Kibaki wakati wa hafla ya kumuapisha Kibaki mwezi Disemba 2002, na huu ndio ulikuwa mwisho wa utawala wa miaka 24 ya Moi madarakani.
Presentational white spaceBBC Swahili
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment