Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 12, 2018

Jinsi mwili wa Winnie Mandela ulivyoagwa Afrika Kusini

 Taifa la Afrika Kusini linaendelea kuomboleza kifo cha Winnie Mandela aliyewahi kuwa mke wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Taifa hilo Nelson Mandela.

Winnie alifariki April 2, 2018 nyumbani kwake jijini Johannesberg na jana April 11, 2018 taifa hilo lilifanya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wake, na atazikwa April 14, 2018.





« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment