Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 12, 2018

Rais Putin : "Hali isioridhisha inaendelea kushuhudiwa ulimwenguni"

Rais wa Urusi  Vladimi Putin asema kuwa hali isioridhisha inaendelea kushuhudiwa kote ulimwenguni.

Rais wa Urusi Vladimir Putin asema kuwa hali isioridhisha inaendelea kushuhudiwa kote ulimwenguni  akizungumzia kuhusu  ujumbe wa rais wa Marekani Donald Trump aliotoa katika ukureasa wake wa Twitter. Rais wa Marekani iltoa ujumbe uliolenga Urusi moja kwa moja kwa kuitahadharisha Urusi kuwa tayari na makombora kutoka Marekani.

Rais wa Urusi amesema kuwa  anayomatumaini kuwa  ulimwenguni utarejea katika usawa.

Rais wa Marekani ametishia kushambulia Syria kwa kusema kuwa makombora yake yapo tayari kuendesha mashambulizi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment