Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 25, 2018

Kilichojadiliwa kuhusu uanachama wa Zanzibar CAF na FIFA

February 22 2018 Mkutano wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA ulifanyika Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa soka akiwemo Rais wa FIFA Giann Infantino na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na  viongozi wa nchi nyingine wanachama wa FIFA kutoka sehemu mbalimbali duniani kujadili.

Pamoja na kuwa mkutano ulilenga kujadili maendeleo ya soka lakini Waziri Mwakyembe ambaye ndio anadhamana ya michezo kwa kushirikiana na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na Rais wa FIFA Gianni Infantino wamejadili  ishu ya uanachama wa Zanzibar na kwa upekee wake wameangalia na wameahidi watalifanyia kazi viongozi hao wa ngazi za juu za soka Afrika na duniani kwa ujumla.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment