Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 25, 2018

Jeshi la Israel latoa msaada kwa walowezi kushambulia majumba ya wapalestina

Kwa mujibu wa mashahidi walioshuhudia jambo hilo, kikundi cha walowezi wa kiyahudi  kulishambulia kwa mawe nyumba za wapalestina  katika kitongoji cha Burina wakilindiwa usalama  na wanajeshi wa Israel.

Tukio hilo limetokea  Ukingo wa Magharibi.

Jambo hilo liilepelekea  ghasia baina ya wapalestina na walowezi hao wa kiyahudi ambapo jeshi la Israel lililazimika kutumia silaha za moto na kufyatua risase na mabomu ya kusababisha machozi.

Mara kwa mara wapelestina wanaoishi katika hilo hushambuliwa na walowezi wa kiyahudi kutoka Yetshar.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment