Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 25, 2018

Wenger Asema Manchester City imefanikiwa kutokana na matumizi mabovu ya Fedha

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, ameeleza yake ya moyoni kuhusiana na namna anavyokiona kikosi cha Manchester City pamoja na Pep Guardiola kuelekea fainali ya Carabao Cup.

Wenger amesema kikosi cha Manchester City kimekuwa bora kutokana na aina ya wachezaji waliosajiliwa na si uwezo wa Pep Guardiola.

Kauli hiyo ya Wenger imekuja ikiwa ni siku moja tu ya leo imesalia kuelekea mchezo wa fainali ya Carabo Cup dhidi ya City, itakayochezwa katika Uwanja wa Wembley, Uingereza.

Wenger ameeleza kuwa mpira wa dunia ya sasa umebadilika kutokana na usajili wa wachezaji bora unaofanya na vilabu.

Pia ameongezea kwa kusema kuwa Guardiola aliifundisha Barcelona ambayo mpaka sasa ni timu bora barani Ulaya.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment