Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, June 23, 2017

Serikali imekamata mali za watuhumiwa wa Escrow



Jamhuri imeziweka kizuizini mali za watuhumiwa wawili wa Kashfa ya Tegeta Escrow Rugemalira na Boss wa IPTL Harbinder Singh Seth

Serikali hatua nyingine iliyowachukulia watuhumiwa hao ni kufunga akaunti zao za benki.

Hatua hiyoimekuja baada ya Serikali kuwaburuza kortini watuhumiwa hao  kwa kosa la kuhujumu uchumi.

Watuhumiwa hao wanadaiwa kujiingiza Pesa kwa njia ya ulaghai na kuhujumu uchumi zaidi ya Shilingi Billioni 300
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment