Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, February 3, 2017

Wema Sepetu atii wito wa Makonda

Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya, leo baadhi yao wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam na hii ni ya mwigizaji Wema Sepetu.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment