Writen by
sadataley
8:41 PM
-
0
Comments
Lakini Iran inasema kuwa hauwezi kulegeza kamba kutokana na vitisho visivyo na maana vya Marekani, kutoka kwa mtu asiye na juzi.Kati ya makudi yaliyowekewa vikwazo yako nchi ya miliki za kiarabu , Lebanon na China.
Wiki hii mshauri wa masuala ya ulinzi Michael Flynn, alisema kuwa Marekani inaionya Iran kufuatia jaribio hilo la kombora.
Lakini waziri wa mashauri ya nchi za kigeni kwa Iran Mohammad Javad Zarif, leo Ijumaa aliandika kwenyr mtandao wa twitter akisema kuwa Jamhuri hiyo ya kiislamu haitikizwi na vitisho vya Marekani.
Alisema kuwa Iran haina mapango yoyote ya kutumia jeshi lake dhidi ya nchi yoyote bali kujilinda.

No comments
Post a Comment