Writen by
sadataley
11:03 AM
-
0
Comments
Mtoto wa askofu Dkt Mdegella Faraja Mdegela akitoa salam za familia mbele ya waalikwa |
Askofu Dkt Mdegella akimpongeza mwanae Faraja |
Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akitoa salam kwa niaba ya wananchi wa Kilolo asema Kilolo ina watu wazuri na wenye sifa kwani anatoka askofu mstaafu Kilolo anaigina mpya kutoka Kilolo |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Dkt Jesca Msambatavangu asema yupo tayari kulipia kadi ya CCM kwa ajili ya Askofu Dkt Mdegella |
No comments
Post a Comment