Writen by
sadataley
1:55 PM
-
0
Comments
Bwana harusi Mch Makariuos Mdegela akiruka juu kufurahia harusi yake |
Askofu Mdegela akimvisha mwanae mch Makariuos Mdegela tai ya midela kama jina na bibi harusi |
Ni Full vituko |
Baba mzazi wa bwana harusi askofu mstaafu Owdenburg Mdegela akiwa amevaa tai ya midela (matembele) kanisani kusisitiza jina na bibi harusi Nyamidele Mgata |
MC nguli Iringa mwanahabari Bony Zacharia wa Ebony Fm akiwajibika |
MC wa harusi Bony akiwajibika |
Mc Vumilia akielekea kutoa zawadi |
Pictures kwa hisani ya mtandao wa matukio daima |
No comments
Post a Comment