Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, January 24, 2017

AJALI YA BASI LA VITU LAINI NA LORI YAUA MMOJA IRINGA.

MTU mmoja amethibitika kupoteza maisha katika ajali ya basi la Vitu Laini lenye namba za usajili T910 linalofanya safari zake kati ya Lulanzi Kilolo na Iringa baada ya kuligonga lori lenye namba T724 AVV scania lililobeba Mbao


Ajali hiyo imetokea asubuhi hii eneo la Tagamenda Mjini Iringa wakati basi hilo likitoka Kilolo kuja mjini Iringa sanjari na mwelekeo wa Lori hilo 

Chanzo kimeelezwa ni mwendo kasi wa basi hilo na kutokuwa makini katika kona 

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza amefika eneo la tukio pamoja na kamati yake ya ulinzi na usalama amethibitisha hilo.



« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment