Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, January 24, 2017

MABINGWA WA FAINALI YA MDEGELA CUP TIMU YA DIRA WAKABIDHIWA KOMBE


Wachezaji  wa  timu ya Dira  wakifurahia  ubingwa baada ya  kukabidhiwa  kombe na askofu mstaafu  Dkt  Owdenburg Mdegela (kushoto ) timu  hiyo  iliibuka bingwa  baada ya  kuifunga timu ya kanisa  kuu katika mchezo  wa fainali mashindano ya Mdegela Cup 
Msaidizi  wa Askofu mteule KKKT Dayosisi ya  Iringa mchungaji  kiongozi wa  usharika wa kanisa kuu Himid Saga  akivishwa medali kwa niaba ya timu ya usharika wa kanisa kuu iliyoshika nafasi ya  pili  katika mashindano ya Mdegela Cup 



Mshindi  wa tatu  kanisa la  Kihesa  wakipewa  medali na askofu mstaafu Dkt Mdegella 

Mratibu  wa mashindano hayo na katibu  mkuu wa Dira wakifurahia ubingwa baada ya  timu  yao kutwaa kombe la Mdegela  Cup 
Kepteni wa  timu ya Dira  Chesco  akipokea  kombe toka kwa askofu mstaafu Dkt  Mdegela baada ya  timu yake  kuibuka bingwa mashindano ya Mdegela Cup  huku mchezaji nguli Juli katikati  akifurahia ,mchezaji  huyo wa  kike aliweza kuwa ngunzo katika mashindano hayo kwa kuvuta  watazamaji wengi  kutokana na kiwango chake  cha soka uwanjani
Habari kwa hisani ya Godwin Francis
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment