Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, June 2, 2014

SARAH K, UCHE, SOLOMON MUKUBWA WANG'ARA TUZO ZA INJILI KENYA

Hapo jana kumefanyika utolewaji wa tuzo maarufu za injili nchini Kenya ziitwazo Groove Awards, katika tuzo hizo ambazo zilikuwa zikifanyika kwa mara ya tisa. Safari hii tuzo iliyokuwa ilishikiliwa na mwanamama Christina Shusho mwaka jana ya mwimbaji bora Afrika mashariki na kati safari hii imechukuliwa na mwanakaka Solomon Mukubwa ambaye ametambulishwa kuwa anatokea nchini Tanzania, huku kwa upande wa Afrika ya magharibi mwanakaka aliyetamba na kundi la Joyous Celebration mchungaji Agu Uchechukwu au mwite Uche Double double ameondoka na tuzo hiyo.
Hata hivyo kwa upande wa nchini Kenya mwanamama Sarah Kiaire ameondoka na tuzo mbili, huku mwanadada matata aliyempa Kristo maisha yake aitwaye size 8 aliondoka na tuzo ya video bora ya mwaka kupitia video ya wimbo Mateke. Kwa watu wengine waliopata tuzo hizo, soma orodha chini.

GROOVE AWARDS 2014 WINNERS


Collabo of the Year … Ngai Ti Mundu by Betty Bayo ft Mr. Seed
Size 8 akizungumzia tuzo yake.



Western Song of the Year … Khwekanile by Geoffrey Kwatemba



East and Central Africa Artiste of the Year … Solomon Mkubwa



Central Song of the Year … Busy Busy by Betty Bayo


Ragga/ Reggae song of the Year … Live up by Hopekid


Western African Artiste of the Year … Uche


Audio Producer of the Year … Jacky B
Mtoto wa kiume wa Sarah K akipokea tuzo kwaniaba ya mama yake.




Nyanza Song of the Year … Christine Otieno



Southern Africa artiste of the Year … Pompi



Lifetime Achievement Award … the Late Peter Kaberere



Radio Presenter of the Year … And the Radio Presenter of the Year is Anthony Ndiema of Radio Maisha


Album of the year … Kirathimo


Pwani Song of the Year … Ahadi za Bwana by Pastor Anthony Musembi



Dance Group of the Year … Gospel Warriors
Baadhi ya umati uliohudhuria, wakifurahia jambo.



Rift Valley Song of the Year … Laleiyo by Shiro Wa GP and L Jay Maasai



Video of the Year … Mateke



Worship Song of the Year … Hakuna Silaha by Sarah K.



Songwriter of the Year … Sarah K.



Eastern Song of the Year … Kitole by Stephen Kasolo



Hip Hop Song of the Year ... Wannabe" by Dee and Holy Dave



Video Producer of the Year ... Sammy Dee
Daddy Owen akimsifu Mungu na kundi lake.




Gospel Radio Show of the Year … Gospel Sunday



DJ of the Year … DJ Mo



Gospel TV Show of the Year … NTV Crossover



New Artiste of the Year … L Jay Maasai



Skiza RBT of the Year … Loise Kim



Group of the Year… Nicholas Harmonies



Song of the Year … Lingala ya Yesu by Pitson



Outstanding Contributor to Industry … B.A Kanyotu



Female Artiste of the Year … Sarah K.
Baadhi ya umati uliohudhuria tuzo hizo. HABARI KWA HISANI YA  GOSPEL KITAA   
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment