Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, October 6, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KIWANDA CHA BAKHRESA FOOD PRODUCTS LTD





















Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa SSB Group, Said Salim Bakhresa alipofika kwenye kiwanda hicho, eneo la Mwandege katika mkoa wa Pwani leo, kwa ajili ya kukifungua rasmi. Katikati ni Mama salma Kikwete




















Rais Kikwete akiwasalimia baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Hajjat, Mwantum Mahiza.

















Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Said Salim Bakhresa (kulia) wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kiwanda chake hicho kinavyopambana ana hasara inayosababishwa na kutokuwa na umeme wa Tanesco




Mazungumzo yakiendelea kwenye ukumbi wa kiwanda hicho

















Rais Kikwete akitazama baadhi ya bidhaa za 'Malt' za kiwanda hicho
















"Naam. bidhaa hizi ni Bora", akasema Rais Kikwete
















 
Rais Kikwete akieleza haja ya Tanesco kuwekeza huduma zake kwenye kiwanda hicho ili kupata fedha kwa manufaa ya Shirika hilo la Umeme

















Rais Kikwete na mwenyeji wake Saidi Bakhresa wakitoka kwenye mazungumzo tayari kwa ajili ya Rais kutembelea maeneo mbalimbali ya uzalishaji kiwandani hapo
















"Unaona hukooo"  Bakhresa akimuonyesha kitu Rais Kikwete katika eneo la uzaloishaji vinywaji vya Azam Malt.




















Bidshaa zenyewe ndizo hizo....

















Rais akipata maelezo kutoka kwa mtaalam katika chumba cha maabara ya kiwanda hicho











"tunafanya hivi halafu hivi.... kujidhirisha kuwa bidhaa ni bora anasema mtaalam
















Rais akionyeshwa mitambo ya kisasa ya kusindika bidhaa  za malt























Hapa ni kwenye eneo la Azam Cola
















Rais akionyshwa matunda yanayotumika kutengenezea bidhaa za Azam malt

















Rais akitoka baada ya kutembelea kiwanda
Burudani ya JWTZ ikihanikiza nje wakati Rais akienda kufungua rasmi kiwanda hicho


















Rais Jakaya Kikwete akizindua kiwanda kipya cha kusindika maji ya matunda na soda cha Bakhresa Food Products Ltd, kilichopo Mwandege, mkoa wa Pwani, leo, Oktoba 13, 2013. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda na Kushoto ni Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa Kampuni za Azam, Said Salim Bakhresa.

















Rais Jakaya Kikwete akizindua kiwanda hicho.
















Rais akimpongeza Bakhresa
















Rais akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho


« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment