Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, October 6, 2013

DK Shein afungua Konamano la Elimu Kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbli alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,Mjini
Unguja kulifungua Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar  wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,jana.[

Shein,jana

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kulifungua kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika jana   katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,na MKuu wa Mko MjiniMagharibi Abdalla Mwinyi Khamis
 Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUZA Prof Idriss Ahmada Rai,alipokuwa akitoa neno la shukurani baada ya kufungunguliwa kwa kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, jana katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akiwa na Viongozi mbali mbali walipokuwa  wakiangalia maonesho ya Vitabu na kazi mbali mbali baada ya kulifungua  kongamano la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika  nje ya viwanja vyaukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwangalia watoto waliokuwa wakisoma vitabu wakati wa maonesho, yaliyofanyika  nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana, baada ya kulifungua  kongamano la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkubwa Ibrahim,wakati alipotembelea kazi za mafundi uashi jana alipoyazindua maonesho wakati wa kongamano
la siku mbili  la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) alipotembelea sehemu ya wanafunzi wasioona wakati wa maonesho baada ya kulifungua kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar nje ya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment