Writen by
sadataley
5:49 PM
-
0
Comments
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akijumuika katika wimbo wa kudumisha umoja, wakati wa kongamano la siku ya walimu duniani, lililofanyika hoteli ya Bwawani
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimkabidhi zawadi mmoja wa walimu wastaafu, baada ya kufungua kongamano la siku ya walimu duniani, lililofanyika hoteli ya Bwawani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika ufunguzi wa kongamano la siku ya walimu duniani, lililofanyika hoteli ya Bwawani
Chanzo:http://www.zanzinews.com
No comments
Post a Comment