Writen by
sadataley
9:29 AM
-
0
Comments
Huyu ndiye Mtumishi wa ngazi ya juu katika shirika la Ujasusi la Marekani aliyeasi na kutoa siri za kijasusi kwa mataifa mengine. Kijana huyu kwa sasa anatafuta hifadhi katika nchi mbalimbali baadhi ya nchi zinazozungumziwa kuwa huenda akakimblia ni Austria, Bolivia, Cuba, Finland, France, German ,Italy, Uholanzi, Nicaragua, Norway, Poland, Spain, Switzerland, Venezuela, Ecuador and Iceland.
No comments
Post a Comment