Writen by
sadataley
1:32 PM
-
0
Comments
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba anatarajiwa kukutana na Wanahabari siku ya kesho 5Julai,2013 katika ukumbi wa mikutano uliopo katika Makao Makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Saalam
Picha na habari kwa hisani ya Issa Michuzi
No comments
Post a Comment