Writen by
sadataley
11:34 AM
-
0
Comments
NI KATIKA TAMASHA LA REDIO FURAHA HIVI SASA
REDIO HII INAMILIKIWA NA K.K.K.T -DAYOSISI YA IRINGA
INAITWA REDIO FURAHA 96.7 FM PIA UNAWEZA ISIKILIZA KWA MASAFA KUPITIA INTERNET KATIKA BLOG HII INGIA PALIPO ANDIKWA REDIO FURAHA
BAADHI YA WATANGAZAJI WAKIWA WENYE FURAHA
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIZUNGUMZA NA WADAU NA MASIKILIZAJI NA MASHABIKI WA REDIO FURAHA
MENEJA WA REDIO AKITETA JAMBO NA CHAPLAIN WA REDIO FURAHA
CHAPLAIN WA REDIO FURAHA MCHG. KENETH COMORO AKITAMBULISHA WAGENI
MGENI RASMI MHESHIMIWA DIWANI DORAH NZIKU AKIFURAHI JAMBO
BAADHI YA WACHUNGAJI WALIOSHIRIKI
MENEJA VIPINDI AKIJITAMBULISHA
HAPA NI KUCHEZA TU
HAPA NI MARTHA MAGESA MMOJA WA WATANGAZIJI
NI SHUKURU MGOBA SASA
BAADHI YA MARAFIKI WA REDIO FURAHA
MENEJA WA REDIO FURAHA BW.PROTAS KANEMELA AKITAMBULISHA WAGENI
MMILIKI WA BLOG HAPA NI FRANCIS GODWIN
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA
MGENI RASMI MHESHIMIWA DIWANI DORAH NZIKU
BW. MOOD MAMBO KATIBU WA WANASALAM IRINGA
HAPA NI LEILA KAZIMOTO WA KWANZA KABISA
No comments
Post a Comment