Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 29, 2013

  LEO HII NDIYO TAMASHA LA REDIO FURAHA 96.7FM
RADIO FURAHA INAWAKARIBISHA NYOTE KATIKA TAMASHA MAALUM LA KUSHEREHEKEA  MIAKA MITATU  YA  REDIO FURAHA TANGU IANZE MATANGAZO YAKE HAPA IRINGA.
FUATILIA  MATUKIO KATIKA BLOG HII
LANGO LA KUINGILIA KARIBUNI SANA SAA 3:00 ASUBUHI

TAYARI SHEREHE ZA MIAKA MITATU YA REDIO FURAHA
 MENEJA WA REDIO TAYARI KWA MAANDALIZI


































 HAPA NI WAMILIKI WA BLOG S MWENYE SHATI JEUPE NI  MCHG. kURWA SADATALEY MMILIKI WA  sadataley.blogspot.com na Bw. GODWIN FRANCIS  MMILIKI WA francis godwin.blogspot.com



TAYARI KUINGIA OFISI ZA DAYOSISI ILIPO REDIO FURAHA

MSAIDIZI WA  ASKOFU NA BAADHI YA WACHUNGAJI WAKIPOKEA MAANDAMANO
WAPENZI NA MASHABIKI WA REDIO FURAHA WAKIWA NA FURAHA


WAGENI TOKA NJE NAO HAWAKUPITWA NA KITU
MWENYE KOFIA NI MCHUNGAJI PAUL HARISI RAFIKI MKUBWA WA REDIO FURAHA



WATOTO NAO HAKUWAMBALI HAWA NI WATOTO WA MSAIDIZI WA ASKOFU




HAPA NI FULL KUCHEZA SASA NI BI LEILA KAZIMOTO HUYO AMEFURAHI HASA
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment