Writen by
sadataley
12:53 PM
-
0
Comments
MATUKIO YA JUBILII KANISA KATIKA PICHA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA SEHEMU YA KWANZA KWA ASUBUHI HII
Profesa Festo Bahendwa akiwa na baadhi ya Maaskofu Wastaafu wakitoka nje
Mkuu KKKT akiwa na Askofu Mstaafu Baba Askofu Kweka
Mwandishi Mwandamizi wa CCT Mchg. Kamoyo akiwa na Mwandishi wa Gazeti la Upengo Miss Manka
Askofu Reinard Mtenji akiwa na Katibu wa Berlin Mision Mchg. Dr. Reinhard Kees
Naibu Katibu Mkuu Mipando na Maendeleo KKKT akiwa na Mchg. Kivambala ambaye ni mmoja wa Wanafunzi toka Dayosisi ya Iringa
Katibu Mkuu wa Lutheran World Federation akiwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Sweden
No comments
Post a Comment