Writen by
sadataley
11:03 AM
-
0
Comments
KWAYA KUU KKKT-DAYOSISI YA IRINGA IKIWA JUKWAANI HIVI SASA
Wimbo "Nimempata rafiki Mwema"
Kwaya Kuu ikiwa katika Jukwaa
wageni wakisikiliza wimbo kwa umakini
Askofu Dr. O.M. Mdegella akiwa na mama wakifurahi kuiona kwaya toka Iringa
Mchungaji Ester Hauli toka iringa akiwa katika Jubilii hii
Mchungaji Yekonia Koo Katibu wa Vijana Iringa nae alikuwepo
Watheolojia wanaosoma Makumira toka Iringa
Mchungaji Mwantepele toka Dayosisi ya Kusini(Njombe)
Maaskofu wastaafu nao wahawakuwa nyuma hapa ni Baba Askofu Mwambungu na Sagaya
Askofu Gulle toka Mwanza mwenye miwani
Askofu Mjema katikati akiwa katika Jubilii hii
Askofu Yesaya Mengele wa pili (Njombe) nae alikuwepo
Katibu wa Berlin Mision -Afrika Mchg. Reinhard Kees akiwa katika Jubilii
Baadhi ya washiriki
Katibu wa Lutheran World Federation Ukanda wa Afrika Mchg. Eliesh Mungure
akitoa itikio la somo la Utandawazo(Globalisation)
No comments
Post a Comment