Writen by
sadataley
1:40 AM
-
0
Comments
TAMASHA LA UIMBAJI LILOFANYIKA KATIKA KANISA LA HAPA CHUONI MAKUMIRA USIKU HUU
Mwl. Obeid Mella toka Chuo Kikuu Iringa
ambaye inaaminika kuwa niye mwalimu nguli wa muziki KKKT
Mwl. Habakuki Lwendo toka Chuo Kikuu Tumaini Makumira
Nguli wa Muziki Mwl Lwendo akifurahia Uimbaji
Mchezaji mahiri wa Ngoma za Asili toka Mashariki na Pwani
Kwaya toka Dayosisi ya Kaskazini kati(Mkoani Arusha)
Kwaya toka Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Lushoto-Tanga)
Baadhi ya Washiriki
Nje ya Kanisa la Makumira (Chapel)
Waimbaji wa Kwaya Kuu Iringa wakifuatilia Uimbaji
Kwaya toka Dayosisi ya Kaskazini mwa Ziwa Victoria (Simiyu/Shinyanga)
Kwaya toka Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira
Kwaya Kuu toka Dayosisi ya Iringa ikiwa Jukwaani
Mchungaji Dolcus Kimbavalla wa kwanza toka Dayosisi ya Iringa akifurahia Uimbaji
Mmoja wa Wakeleketwa wa Blog hii anayesoma hapa Makumira
No comments
Post a Comment