Writen by
sadataley
7:57 PM
-
0
Comments
PICHA ZA MAZISHI
YA
PADRE EVARISTUS G. MUSHI
Askofu wa Zanzibar akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Padri Mushi leo.
Padre Evaristus Mushi alifariki dunia Jumapili baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana wakati alipokuwa akishuka kwenye gari lake ili aende kuendesha ibada ya asubuhi katika kanisa la minara miwili na kufariki papo hapo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
AMIN
No comments
Post a Comment