Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, February 21, 2013

ZIARA YA RAIS  KIBAKI INCHINI   

Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini **katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.*
**

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa
Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini,
wakisiliza taarifa ya pamoja ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini **katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.*
*
                                       
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai
Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya
Kiserikali nchini **katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam.*

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki
wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali
nchini wakisimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa **katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

HABARI   PICHA KWA HISANI YA Lukwangule blog

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment