Writen by
sadataley
6:55 AM
-
0
Comments
Mahakama ya kijeshi kaskazini magharibi mwa DRC imemhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliyefyatua risasi na kumuua mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila. Polisi mwingine kufikishwa mahakamani.
Dw.com
No comments
Post a Comment