Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, March 2, 2018

Libya: Zaidi ya wahamiaji haramu 100 wameokolewa

Zaidi ya wahamiaji haramu 100 wameokolewa kaskazini magharibi mwa Pwani ya Libya.

Kwa mujibu wa habari,mashua iliyokuwa imewabeba wahamiaji hao iliharibika wakati wa safari.

Mashua hiyo iliharibika kilomita 19 kutoka katika mpaka wa Tunisia.

Kati ya waliookolewa wengi wao ni watoto na wanawake.

Toka mwaka 2011 Libya imekuwa ikitumika kama kituo cha kusafirisha wahamiaji haramu kuelekea Italia na nchi nyingine barani Ulaya.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment