Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, March 2, 2018

KAIMU MKURUGENZI IDARA YA UKUZAJI WA MAADILI OFISI YA RAIS UTUMISHI AFARIKI DUNIA


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili-Ofisi ya Rais-Utumishi Lambert F. Chialo (Pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 01/03/2018.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imesema Chialo alikua akipata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es Salaam. 

Imesema hadi kifo chake Lambert F. Chialo alikuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na kwamba taarifa zaidi kuhusu taratibu za msiba zitatolewa baadae.

CCM Blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment