Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, February 28, 2018

Trump amtaja Parscale kama meneja wa kampeni zake za 2020

Trump anaamini Parscale atasaidia kushinda tena kiti cha urais

Image captionTrump anaamini Parscale atasaidia kushinda tena kiti cha urais
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020.
Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump.
Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu.
Brad Parscale anatajwa kuwa amebobea vilivyo katika masuala ya mitandao
Image captionBrad Parscale anatajwa kuwa amebobea vilivyo katika masuala ya mitandao
Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila kitu kwa uhakika wa hali ya juu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment