Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 25, 2018

FIFA yatoa ahadi hii kwa Tanzania

Leo February 24 2018 Waziri Mwakyembe amefanya mkutano na waandishi wa habari na kuwapa taarifa wa kilichojadiliwa ndani ya kikao hicho kuhusiana na maendeleo ya soka na changamoto mbalimbali zilizokuwa zinalikabili shirikisho la soka Tanzania TFF.

Waziri Mwakyembe ameeleza kuwa FIFA ilikata kutoa pesa kwa TFF muda mrefu lakini baada ya shikisho hilo kujisafisha sasa watakuwa wanapata pesa kama kawaida lakini good news ni kuwa FIFA wameongeza pesa kwa nchi wanachama kama Tanzania sasa itakuwa inapewa dola milioni 1.25 kutoka kupewa dola 250000 kwa mwaka.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment